Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Julai, 2016
Wananchi wa Uganda Wanataka Serikali Isaidie Kunusuru Shule, Sio Matajiri
Kubinafsisha faida na kuchangia hasara. Lazima wote tuchangie hasara ya biashara za matajiri lakini lini tulichangia faida wanayopata?
‘Watu Wanapanda Boti hizo kwa Kuwa Bado Wanahitaji Kuishi’
Kampeni ya uokozi Sos Méditerranée yachapisha kwenye blogu yao maelezo ya watu walioponea chupuchupu wakielekea Ulaya kupitia bahari ya Mediterranean
Kijana Mkimbizi Raia wa Liberia, Aliyejipatia Elimu Marekani, na kisha Kuamua Kurudi ‘Nyumbani’
Mercy Krua ni mkimbizi wa Liberia anayeishi Boston. Mtoto wake pia alikuwa mkimbizi kutoka Liberia. Hata hivyo, kijana huyu ameamua kurudi na kuishi nchini Liberia.
Karibu Msumbiji, Ukutane na Serikali Inayofunga Kamera 450 Kukufuatilia
Kwa mujibu wa moja wapo ya magazeti yanayoaminika zaidi nchini Msumbiji, Canal de Moçambique, serikali imeanza kufunga kamera 450 za usalama kwenye miji ya Maputo na Matola
Picha ya Rais wa Uganda Akipiga Simu Pembeni mwa Barabara Yazua Gumzo Twita
"Nadhani ingefaa iwe USIENDESHE NA KUPIGA SIMU/KUANDIKA UJUMBE"
“Wiki Ilivyokwenda” Global Voices: Kujitoa kwa Uingereza Kutoka Umoja wa Ulaya Kwawa Gumzo
Wiki hii, tunakupeleka kwenye nchi za Caribbiani, Brazil, urusi, Tanzania na Azerbaijan.