Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Oktoba, 2019
Shule pekee ya muziki Zanzibar hatarini kufungwa
Kwa zaidi ya wanafunzi 1,800 waliowahi kupitia mafunzo ya shule ya DCMA, hii ndiyo shule pekee ya muziki wanayoifahamu, ambako wanaweza kujifunza na kukua kama wasanii na wanamuziki mahiri.
Jean-Jacques Muyembe-Tamfum: Mwanasayansi wa Congo Aliyegundua Tiba ya Ebola
Mwanasayansi huyu amegundua dawa ya kutibu ugonjwa wa Ebola. Je, jina lake litashika vichwa vya habari kwa mapana katika vyombo vya habari kama ilivyo kwa habari kuhusu ugonjwa wenyewe?