Habari kuhusu Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kutoka Juni, 2018
Taarifa ya Raia Mtandaoni: Sheria Mpya Cambodia na Tanzania Zimelazimu Vyombo vya Habari vya Kujitegemea Kuwa Kimya au — Kufungwa
Taarifa ya raia mtandaoni ya Advox inaangazia taswira ya haraka kimataifa juu ya changamoto, ushindi na mienendo inayoibuka katika haki za kimtandao duniani.
Taka za Plastiki ni Tatizo Kubwa Nchini Uganda
"Unaweza kufanya kama wanavyofanya ...ni tabia ya wasafiri kutupa taka wanapokuwa njiani. Hifadhi taka zako na zitupe ukifika uendako."
Tovuti huru maarufu nchini Tanzania zafungwa kufuatia ‘kodi ya blogu’
"Hii sio tu ni leseni ya kujidhibiti mwenyewe lakini pia ni namna ya kuwa nyenzo ya serikali kuwafuatilia haki ya kiraia ya wengine (wachangiaji) kujieleza."
Kutoka Mavumbini mpaka Ushujaa
Ambapo mhamiaji asiyeandikishwa kutoka Mali anakwea ghorofa na—ghafla—anakuwa shujaa.
Ripoti ya Raia Mtandaoni: Sheria ya Uganda ya Kodi ya WhatsApp na Kadi za Simu Itafanya Iwe Vigumu Kuendelea kutumia Mtandao
Taarifa ya Watumiaji wa Mtandao inakuletea muhtasari wa changamoto, mafanikio na mambo yanayojitokeza kuhusiana na haki za Mtandao duniani kote.