Habari kuhusu Ulaya Magharibi
Papa Francis Ataitembelea Makedonia Kaskazini Mwezi Mei, Muda Mfupi Baada ya Uchaguzi wa Rais
Mara ya kwanza kwa Papa Francis kutembelea Macedonia Kaskazini
Wanaharakati Nchini Colombia Wawasilisha Barua Kuhusu Mauaji ya Viongozi wa Kijamii Huko ICC
Zaidi ya viongozi 163 wa kijamii na wanaharakati wameuawa kwa zaidi ya miaka mitatu iliyopita nchini Colombia.
Rais wa Angola Aamsha Hasira Kwenye Mahojiano Yake Akidai Hakuna Njaa Nchini Kwake
"Leo kuna chakula cha kutosha Angola, hakuna mtu anayeweza kusema eti Angola ina njaa. Kilichopo ni utapiamlo," alisema Rais wa Angola kwenye mahojiano.
Kwa Nini Raia Mtandaoni Nchini China Wanaamini Kiwango cha Mauzo ya Bidhaa Kinaweza Kutabiri Mambo ya Duniani
Kutokana na historia, kiwango cha mauzo ya bidhaa ya Yiwu kilitabiri matokeo ya uchaguzi wa Rais wa Marekani mwaka 2016 na kinatarajia kufanya hivyo kwa waandamanaji wa Ulaya waliovalia "fulana za njano" .
Namna Utoaji Bure wa Kifungua Kinywa Nchini Yemen Ulivyorudisha Wasichana 500 Shuleni
Kabla ya mradi kuanza, moja ya tano ya wanafunzi walikuwa wahahudhurii. Sasa, wote wamerudi darasani.
Kumetokea Nini Kwenye Haki za Kidijitali kwa Miaka Saba Iliyopita? Toleo la 300 la Ripoti ya Raia Mtandaoni Litakueleza
Wiki hii katika kusherehekea toleo letu la 300, tunaangazia miaka saba iliyopita ya habari za haki ya kidijitali duniani!
Kutoka Mavumbini mpaka Ushujaa
Ambapo mhamiaji asiyeandikishwa kutoka Mali anakwea ghorofa na—ghafla—anakuwa shujaa.
Wasomaji wa Global Voices wamefuatilia nini juma lililopita?
Wakati wa Juma la kati ya Mei 7-13, 2018, habari na tafsiri zetu zimefikia watu kutoka nchi 207. Nchi ya 61 kwenye orodha? Kazakhstan. Na namba 19? Indonesia.
‘Bustani’ Shirikishi Inayotumia Matangazo ya Radio Kukuwezesha Kuzuru Ulimwengu
Tangu mwishoni mwa 2016, Radio jumuishi iitwayo 'Bustani' imewawezesha watumiaji kutembelea dunia yote kupitia matangazo ya radio.
Jukwaa Hili Limewasaidia Maelfu ya Wahamiaji Kukutana Tena na Familia Zao Nyumbani
Duniani kote, takribani watu miliaoni 65 ambao, kwa sababu moja au nyingine, wamelazimishwa kuyakimbia makazi yao. Jukwaa hili linalenga kukutanisha familia zilizovunjika.