Habari kuhusu Ulaya Magharibi kutoka Septemba, 2013
Picha Nyeusi: Waafrika Nchini Italia
Picha Nyeusi ni kazi za wapiga picha watatu – Marco Ambrosi, Matteo Danesin na Aldo Sodoma – Kituo cha Stadi za Uhamiaji mjini Verona, Majiji ya Verona na Padua, Chuo...
Wafanyakazi wa Kujitolea Raia wa Ki-Hispania Waachiliwa Huru Baada ya Miezi 21 Uhamishoni
Montserrat Serra na Blanca Thiebaut walikuwa wakijenga hospitali katika eneo la Dadaab, Kenya, ndani ya kambi kubwa zaidi duniani, wakati walipotekwa