Habari kuhusu Ugiriki
Katuni Maarufu ya Ukraini Yaweka Mazingira ya Wazazi Kuzungumzia Usafirishaji Haramu wa Binadamu
Hivi sasa kwapitia mtandao wa YouTube, takribani nusu karne baadae, katuni iliyo kwenye mfululizo uuitwao "Namna Wakulima wa Kirusi..." (How the Cossacks...) zinaonekana kurudia umaarufu wake wa awali.
Mfungo wa Radhamani Wawafanya Wakimbizi wa Kiislamu Nchini Uturuki Wakumbuke Nyumbani
Serikali ya ugiriki inafanya jitihada za kuwasaidia wakimbizi wa ki-Islam wakati huu wa Ramadhani,lakini kwa wale waliokwama kipindi hiki kinawakumbusha maisha ya furaha nyumbani
Raia wa Iraqi Aliyefanya Kazi ya Ufasiri kwa Jeshi la Marekani Akwama Ugiriki
Umoja wa Ulaya unajiandaa kuwarudisha maelfu ya wakimbizi nchini Uturuki. Mmoja wapo ni kijana aliyefanya kazi na Jeshi la Marekani nchini Iraq.
Mazungumzo ya GV: Namna ya kushinda Ufadhili wa Miradi Midogo ya Rising Voices
Je, unalo wazo la kuisaidia jamii yako kusimulia habari zao kupitia mitandao ya kijamii? Kwenye Mazungumzo ya GV timu ya Mradi wa Rising Voices inajadili namna bora ya kushinda shindano la ufadhili wa miradi midogo
FIFA Yazipiga Faini Croatia na Ugiriki kwa Tabia ya Mashabiki ya Ubaguzi wa Rangi
Mnamo Novemba 2013, Croatia ilijiunga na orodha ya kuongezeka kwa timu za taifa za kandanda ambazo FIFA imezipiga faini kwa ajili ya tabia za ubaguzi wa rangi ya mashabiki wao...
Ugiriki: Malalamiko Kuhusu Usafirishwaji wa Silaha kuelekea Israeli
Wakati vita vikiendelea huko Gaza, taarifa zilizotolewa mwanzoni mwa mwezi kuhusu shehena kubwa ya silaha kutoka Marekani kuelekea Israeli kupitia bandari ya Astakos huko Ugiriki zimezua kelele kutoka kwa wanablogu wa Kigiriki. Wanablogu hao walitumia huduma ya Twita kuchunguza swala hilo na kuitia shinikizo serikali ya Ugiriki kusimamisha usafirishwaji wa silaha hizo.