Habari kuhusu Croatia
Pamoja na Wapiga Kura Kutilia Shaka Sera Zake, Croatia Yapata Rais Mwanamke
Croatia ipo katika mpasuko mkubwa wa kisiasa. Kolinda Grabar Kitarović ameweza kunyakua kiti cha uRais kufuati ushindi mwembamba alioupata dhidi ya Rais anayemaliza muda wake, Ivo Jospović katika duru ya pili ya uchaguzi uliofanyika mwezi Januari, 2015 kwa kupata asilimia 50.74 ya kura zote.
FIFA Yazipiga Faini Croatia na Ugiriki kwa Tabia ya Mashabiki ya Ubaguzi wa Rangi
Mnamo Novemba 2013, Croatia ilijiunga na orodha ya kuongezeka kwa timu za taifa za kandanda ambazo FIFA imezipiga faini kwa ajili ya tabia za ubaguzi wa rangi ya mashabiki wao...
Nchi za Balkani: Ufanano Baina ya Facebook na Chama cha Kikomunisti cha Yugoslavia
Filip Stojanovski anatafsiri orodha ya vitu vinavyofanan kati ya Facebook na Chama cha kikomunisti cha Yugoslavia (CPY).