Habari kuhusu Lugha
#MatrikiUtambulisho: Mazungumzo ya Twita yanayoangazia utambulisho na haki za kidijitali barani Africa
Wanaharakati kutoka Burkina Faso, Nijeria, Afrika Kusini na Kenya, wataongoza mazungumzo kwenye mitandao ya kijamii kwa kutumia lugha zao za asili kuhusu masuala ya lugha,...
Miradi Ifuatayo Inalenga Kuifanya Simu yako Ikusemeshe kwa Kiswahili
Kiswahili ni lugha ya pili kuzungumzwa zaidi barani Afrika. Hata hivyo, mfumo wa utambuzi wa sauti bado haupatikani katika lugha hiyo, na kuwanyima watumiaji wengi...
Wanafunzi Nchini Tanzania Kufundishwa kwa Lugha ya Kiswahili, si Kiingereza
Rais Jakaya Kikwete amezindua sera mpya ya elimu nchini Tanzania juma lililopita, ambayo pamoja na mabadiliko mengine, inaingiza rasmi Kiswahili kama lugha ya kufundishia na...
Shiriki Zoezi la Kujifunza Lugha za Asili Mtandaoni
Badala ya zoezi la kuweka mabonge ya barafu vichwani mwao, watetezi hawa wa lugha wamekubali kushiriki zoezi la lugha za asili kwa njia ya video
Hivi Ndivyo Waandishi wa Kifaransa wa Global Voices Wajivyojipanga Kusoma Kiangazi Hiki
Je, unahitaji kitabu cha kujisomea? Hapa kuna orodha ya kusoma iliyopendekezwa na waandishi wa Kifaransa kwa familia ya GV.
Namna Teknolojia Inavyosaidia Watu Kujifunza —na Hata Kuokoa—Lugha za Dunia
Waleta mabadiliko sasa wanatumia nguvu ya teknolojia kujaribu kuziokoa lugha zilizo kwenye hatari ya kupotea, na kwa nadra, kuzifufua lugha zilizokwisha kufa.
Maandamano ya Taiwan ya #KupingaBunge, Yatafsiriwa
Mamia ya watafsiri wamejipanga kupitia mtandao wa facebook kutafsiri habari kuhusu maandamano ya raia wanaojikusanya kwenye Bunge la nchi hiyo kupinga hatua ya chama tawala...
Flipboard Yaiongeza Global Voices Kwenye Mwongozo wake wa Maudhui
Kuanzia mwezi huu, mtandao wa Global Voices (katika lugha tofauti) utakuwa ukipendekezwa kwa maelfu ya watu wanaotumia simu ama vifaa vinavyofanana na simu za kisasa.