Habari kuhusu Habari Njema
Netflix kuonyesha filamu ya kwanza ya Angola
Dias Santana ni filamu ya Angola kwa 80% na AfrikaKusini kwa 20%
Mshindani wa Msumbiji Ashinda Mashindano ya Kimataifa ya Kutunisha Misuli nchini Hong Kong
Saraiva ni mtu mashuhuri kwa kutunisha misuli nchini Msumbiji.
Kwa Mara ya Kwanza katika Historia ya Nchi, Mwanamke Aongoza Chuo Kikuu cha Umma Msumbiji
Nafasi yake ya Mkuu wa Chuo kikuu cha umma ni sawa na nafasi ya waziri katika Msumbiji.
Papa Francis Kutembelea Msumbiji Mwezi Septemba, Kipindi cha Kampeni ya Uchaguzi Mkuu
Msumbiji itakuwa na uchaguzi mkuu mwezi Oktoba na bado haijapata nafuu kutokana na kimbunga ambacho kimeharibu kabisa Beira ambao ni mji mkubwa wa pili.
‘Watu Wanapanda Boti hizo kwa Kuwa Bado Wanahitaji Kuishi’
Kampeni ya uokozi Sos Méditerranée yachapisha kwenye blogu yao maelezo ya watu walioponea chupuchupu wakielekea Ulaya kupitia bahari ya Mediterranean
Namna Posti ya Blogu Ilivyobadilisha Maisha ya Mama wa ki-Somali Mwenye Watoto Nane
Wasomaji waguswa na habari na kuchanga zaidi ya dola za Marekani 4,000 ndani ya siku moja
‘Escopetarra': Chombo cha Kipekee
Kama unaamini kuwa hakuna jambo zuri linaloweza kutokana na bunduki aina ya gobore, basi unapaswa kukifahamu kifaa kiitwacho “escopetarra”— mchanganyiko uliotokana na kubadilisha silaha mbili “hatari” (an AK-47 na gitaa) na...
Mpigania Amani wa Uganda awa Miongoni mwa Watakaoshindania Tuzo ya Amani ya Nobeli
This is Uganda (ThisIs256) ni jukwaa la waandishi waliobobea kutoka Uganda walio na utayari wa kuandika habari makini za kuihusu nchi yao, wakilenga kutokomeza uanahabari uchwara, njaa, Ebola, ukabila, pamoja...
‘Uandishi na Vyombo vya Habari Katika Kuleta Dunia Bora Zaidi': Mkutano wa Taasisi ya Transformational Media 2014 Jijini DC
Washiriki wa Mkutano wa TM watajadili uandishi, ubunifu, teknolojia mpya, bishara na maisha enedelevu, ustawi na afya, upigaji picha, filamu na muziki,uandishi wa habari, pamoja na mambo mengine
Uimarishaji wa Amani ya Kudumu Jamhuri ya Afrika ya Kati
Wakati Umoja wa Mataifa ukizindua mpango wake wa kulinda amani kwa kutuma wanajeshi 1,500 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, wafuatiliaji wachache wanajiuliza ni kwa nini uamuzi huu ulichukua muda...