Habari kuhusu Habari Njema kutoka Aprili, 2014
Mashabiki Jijini Skopje Wakusanyika Kubadilishana ‘Stika’ za Soka
Mamia ya watu walikusanyika mchana wa Jumapili kwenye eneo la wazi jijini Skopje kubadilishana ‘stika’ za mkusanyiko rasmi wa picha za Kombe la Dunia la FIFA tarehe 28 Aprili, 2014....
Serikali Mpya ya Waziri Mkuu Roger Kolo Yatangazwa Nchini Madagaska
Mtandao wa Tananews nchini Madagascar umechapisha orodha kamili ya mawaziri 31 wa serikali mpya ya Madagaska [fr]. Mitsangana Madagascar anasema kwamba orodha hiyo ina wanawake 6 na kuwa mawaziri 7...
Niger Yapata Kituo Chake cha Kwanza cha Reli Baada ya Kusubiri kwa Miaka 80
Aprili 7, Niger ilizindua katika mji mkuu wa Niamey kituo chake cha kwanza cha treni kuwahi [fr]. Mamlaka tayari ilikuwa na makadirio ya ujenzi wa kituo cha treni miaka 80...
Jijini Havana Unapata Kitabu Bure, Bila Malipo
"Kitabu hiki kinamilikiw ana yeyote atakayekipata na kukitoa tena baada ya kukisoma ili watu wengine wakifurahie."
Hadithi ya Mapenzi Kibera
Hii ni hadithi ya kusisimua ya mapenzi kati ya Sam, anayetoka Kibera, makazi ya masikini kwenye jiji la Nairobi, Kenya, na Alissa, anayetoka Minnesota, Marekani: Bila shaka, hii ni hadithi...
VIDEO: Wimbo wa ‘Furaha’ wa Pharrell Williams na Taswira Halisi ya El Salvador
Wananchi wa Salvador wametengeneza toleo lao la wimbo “Happy” [furaha] ulioimbwa na Pharrell Williams. Mwanablogu Mildred Largaespada anaisifu video hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook [es]: ni nzuri. Na ndiyo,...