Habari kuhusu Vita na Migogoro
Wanaharakati Nchini Colombia Wawasilisha Barua Kuhusu Mauaji ya Viongozi wa Kijamii Huko ICC
Zaidi ya viongozi 163 wa kijamii na wanaharakati wameuawa kwa zaidi ya miaka mitatu iliyopita nchini Colombia.
‘Jeshi halijamuua Yeyote,’ Asema Bolsonaro Baada ya Wanajeshi Kupiga Risasi 80 Kwenye Gari la Familia huko Brazil Na Kuua Mtu Mmoja
"Jeshi la watu, na huwezi kuwatuhumu watu kwa mauaji," alisema rais wa Brazil siku sita baada ya tukio lililoishangaza nchi.
Tunaelewa Nini Kuhusu Uchaguzi Mkuu Ujao Nchini Msumbiji?
Mnamo Oktoba, 2019 Msumbiji itachagua magavana wake kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo. Kabla ya uchaguzi huu, magavana hawa waliteuliwa na rais.
Namna Utoaji Bure wa Kifungua Kinywa Nchini Yemen Ulivyorudisha Wasichana 500 Shuleni
Kabla ya mradi kuanza, moja ya tano ya wanafunzi walikuwa wahahudhurii. Sasa, wote wamerudi darasani.
Vita,Usimamizi Hafifu Wa Vyanzo Vya Maji na Mabadiliko Ya Tabia Ya Nchi Vyapelekea Uhaba Mkubwa Wa Maji.
"Ninailaumu serikali kwa kutokuangalia na kushughulikia tanga la maji. Hakuna anayejali watu."