Habari kuhusu Vita na Migogoro kutoka Septemba, 2013
Boko Haram Waua Wanafunzi 50 wa Chuo Kikuu Nchini Naijeria
Kikundi cha kigaidi cha Naijeria Boko Haram kimewawasha moto bwenini na kuwaua wanafunzi wasiopungua 50 wa Chuo Kikuu cha Kilimo kilichopo kwenye Jimbo la Yobe, wakiwa usingizini. Rais Goodluck Jonathan...
GV Face: Magaidi Wanatwiti? Shambulio la Westgate
Toleo la juma hili la mfululizo wa Mazungumzo yetu ya GV Face kupitia Google Hangout, tunajadili wajibu wa uandishi wa kiraia baada ya tukio la kigaidi la Kenya.
GV Face: Mitazamo Tofauti Kuhusu Habari za Mgogoro wa Syria
Namna gani taarifa za Syria zinatofautiana kulingana na uliko? Na hilo linamaanisha nini kwa wananchi wa Syria? Tulilizungumza hili pamoja na mambo mengine katika toleo la pili la GV Face.
Shambulizi la Nairobi Lasababisha Kutengenezwa kwa Zana Mbili za Dharura Mtandaoni
Zana tumizi ya "The Ping" itawasaidia wanafamilia kutafutana haraka wakati wa dharura wakati "Blood Donation Kenya" itasaidia kuoanisha vituo vya utoaji damu na watu wanaojitolea damu.
Namna Shambulizi la Westgate Jijini Nairobi Lilivyojadiliwa Kupitia Mitandao ya Kijamii
Mtandao twita ulikamata taarifa za tahayaruki kuhusiana na shambulio katika muda halisi kile ambacho watumiaji waliripoti awali kuwa ni mlipuko na hatimaye kufahamu ukweli wa kutisha
Mwandishi wa Global Voices Awakumbuka Marafiki Waliouawa Kwenye Shambulio la Nairobi
Shurufu, mwandishi wa Tanzania anayeishi Dar es Salaam, alipoteza marafiki Ross Langdon na Elif Yavuz, waliokuwa wakimtarajia mtoto wao wa kwanza.
Wafanyakazi wa Kujitolea Raia wa Ki-Hispania Waachiliwa Huru Baada ya Miezi 21 Uhamishoni
Montserrat Serra na Blanca Thiebaut walikuwa wakijenga hospitali katika eneo la Dadaab, Kenya, ndani ya kambi kubwa zaidi duniani, wakati walipotekwa