Habari kuhusu Vita na Migogoro kutoka Aprili, 2014
Mzazi wa Kisyria Auomba Ubalozi wa Uingereza Kumwunganisha na Mwanae
Wael Zain, raia wa Syria anayeishi Londona, ametumia mtandao wa Twita kutafuta kusikilizwa madai yake kuwa mwanae wa kiume mwenye uraia wa Uingereza ametelekezwa Syria kwa miaka mitatu sasa.
Msiyalaumu Mataifa ya Magharibi kwa Matatizo ya Afrika
Gershom Ndhlovu anasema kuwa viongozi wa Afrika wanafanya kosa kuzilaumu nchi za Magharibi kwa matatizo ya Afrika: Kwenye mkutano wa hivi karibuni wa Umoja wa Ulaya ulifanyika nchini Ubeligiji, rais...
M-Misri Atumia Mtandao wa YouTube Kupinga Kutumikia Jeshi kwa Lazima
Mwanaharakati wa Misri ametumia mtandao wa YouTube kuelezea anavyopinga utaratibu wa kulitumikia jeshi kwa lazima kwa raia wenye umri wa miaka kati ya 18 na 30. Katika barua pepe aliyoituma...
Kikundi cha Boko Haram Chaendeleza Vitendo Vya Kigaidi Nchini Nigeria
Wiki za hivi karibuni, wanajihadi wa kundi la kigaidi la kiislam liliwachinja raia wa Nigeria wasio na hatia.
Mgogoro Usiopewa Uzito Stahiki Nchini Burundi
Wakati nchi jirani ya Rwanda inagonga vichwa vya habari na maadhimisho ya mauaji ya kimbari ya mwaka wa 1994 na kuongezeka kwa mvutano na Ufaransa, Burundi imeharibiwa katika kupuuzwa kwa...
Video Inayoonyesha jinsi Marekani Iliangusha Mabomu ya Tani Milioni 2.5 Nchini Laos
Mother Jones alipakia video ambayo inaiga utupaji mabomu 600 uliofanywa na Marekani nchini Laos kati ya mwaka wa 1965 hadi 1973 wakati wa zama za Vita ya Vietnam.
Kwa nini Rwanda Inaituhumu Ufaransa Kusaidia Mauaji ya Kimbari ya 1994
Wakati Rwanda ikiwakumbuka waathirika wa mauaji ya kimbari yalitokea miaka 20 iliyopita, Rais Kagame anasema tena kuwa Ufaransa lazima “ikabiliane na ukweli mgumu” wa kukiri kushiriki kwenye mauaji hayo ya...
Amnesty International: ‘Mfululizo wa Ghasia ni Tishio la Utawala wa Sheria Nchini Venezuela’
Shirika la kutetea haki za binadamu, Amnesty International limetoa taarifa inayo weka kumbukumbu sawa “kuhusu madai ya uvunjifu wa haki za bindamu na unyanyasaji uliofanywa katika mukhtadha wa maadamano makubwa...