Habari kuhusu Vita na Migogoro kutoka Oktoba, 2016
Mfungwa wa Zamani wa Guantanamo Ahatarisha Maisha Yake Kwa Kugoma Kula Akishinikiza Kuunganishwa na Familia Yake
"Wamenifungia milango na kuniacha bila namna lolote na hii ndiyo njia pekee niliyonayo kujiokoa."
Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices: Anahitaji Kutendewa Haki
Wiki hii, tunakuletea wanawake wanaosaka au wanaopata haki zao nchini Poland, Uruguay, Urusi na Syria.
Matangazo ya ‘Kwa Kina': Kura ya Hapana kwa Amani ya Colombia
Wiki hii, tunakuletea habari za kina kuhusu sababu ya raia wa Colombia kupiga kura ya hapana kupinga mkataba wa amani ambao ungemaliza vita vilivyodumu kwa zaidi ya miaka 50.