Habari kuhusu Vita na Migogoro kutoka Juni, 2018
Mwandishi wa Habari wa Kashmiri Shujaat Bukhari Auawa kwa Kupigwa Risasi
"Haiwezekani kujua nani ni adui zetu na nani hasa ni marafiki zetu."
Riwaya Hii ya Kidigitali Yasimulia Vurugu Dhidi ya Waindonesia Wenye Asili ya China Walioandamana Nchini Indonesia Mwaka 1998
"Miaka 20 sasa, mwaka 1998 hautambuliki. Kuna mambo mengi yamefanyika kurekebisha hali ya mambo na kudai namna mbalimbali za haki."