Habari kuhusu Siasa
TAZAMA/SIKILIZA: “Kwenda zaidi ya Maandamano,” mazungumzo na Tanya Lokot
Ulikosa matangazo mubashara ya Juni 17 kuhusu "Mazungumzo ya Global Voices" yaliyomshirikisha msomi wa masuala ya habari Tanya Lokot kuhusu kitabu chake cha "Beyond the Protest Square"? Tazama hapa video na sauti ya marudio ya matangazo hayo.
Wabrazili Waingia Mitaani Kumpinga Bolsonaro Kupunguza Fungu la Elimu
Kutoka São Paulo mpaka Amazon, maelfu wa wa-Brazili waliingia mtaani mnamo Mei 15 kupigania elimu ya umma.