Habari kuhusu Siasa kutoka Aprili, 2019
Rais wa Guinea Alpha Condé Awambia Wafuasi Wake Kuwa Tayari Kupambana
Alpha Condé, Rais wa Guinea aliwaambia wafuasi wake kuwa tayari kwa makabiliano mazito na wale wanaweza kumpinga kugombea urais kwa muhula wa tatu.
Mtunga Sheria wa Kike wa Brazili Ashambuliwa Mitandaoni Kwa Kuvaa Nguo Zinazoonesha Maumbile
"Ushiriki wa wanawake wenye jamii ni mdogo kiasi kwamba suala la mavazi linaweza kukuzwa kupindukia."
Wanawake wa Afghanistan Watuma Ujumbe kwa Serikali na Taliban: Tunataka Tujumuishwe
"Amani haimaanishi mwisho wa vita. Hakuna nchi inaweza kufanikiwa mipango yake ya kitaifa bila ushiriki wa wanawake."
Askari Polisi wa Uganda Wamuua Mtu Kimakosa kwa Kumpiga Risasi Wakidhani ni Kiongozi wa Kisiasa
Habari ya Ronald Ssebulime ni kubwa sana. Kuna habari tofauti kuhusu nani aliyemuua “anayedhaniwa kuwa mshambuliaji”na namna alivyoua. Je haki itatendeka?
Wanablogu wa Mauritania Wakabiliwa Mashtaka ya Kukashifu kwa Kutoa Taarifa ya Rushwa
Waendesha mashtaka wa serikali wawashtai wanablogu wawili kwa kusambaza taarifa zinasemekana kuwa za uongo juu tuhuma za rushwa dhidi ya Rais wa Mauritania.