Habari kuhusu Siasa kutoka Septemba, 2009
26 Septemba 2009
Marekani: Stempu ya Iddi Yachochea Chuki Huko Tennessee
Barua pepe yenye madai ya uongo kuwa Rais Obama ametoa stempu mpya kuadhimisha sikukuu ya Waislamu Eid al-Fitr imemfikia Meya wa Tennessee ambaye aliisambaza kwa...
16 Septemba 2009
Uganda: Blogu,Twita Zaipasha Habari Dunia Wakati Machafuko Yanaendelea Mjini Kampala
Wakati machafuko yalipoitingisha Kampala, mji mkuu wa Uganda, kwa siku ya pili, wanablogu na watumiaji wa intaneti waliungana ili kuupasha ulimwengu habari.