Habari kuhusu Siasa kutoka Oktoba, 2015
30 Oktoba 2015
Kampeni ya ‘Alaa Aachiwe’ Yashika Kasi Mwaka Mmoja Baada ya Kufungwa Kwake

Alaa Abd El Fattah ametumikia mwaka mmoja kwa sababu ya uanaharakati wake. Amebakisha miaka minne. Watumiaji wa mitandao wanapiga kelele wanapoadhimisha mwaka mmoja wa kifungo...
18 Oktoba 2015
Wa-Tanzania Wamkumbuka Baba wa Taifa Lao kwa Alama ya #DearNyerere
"#DearNyerere, enzi zako, umaarufu ulitokana na matendo mazuri kwa nchi yako, lakini siku hizi ni idadi ya wafuasi kwneye mitandao ya Instagram na Twita."
6 Oktoba 2015
Wanaharakati Waomba Ulinzi kwa Makabila Yanayopinga Uchimbaji Madini Nchini Ufilipino
"Wao ndio waasisi wa tamaduni zetu za kipekee za sanaa. Mauji dhidi yao ni mauji ya utu wa watu wetu."
1 Oktoba 2015
‘Simulizi ya Kimapenzi ya Syria’ yafuatilia Safari ya Familia Ikiwa Vitani na Uhamishoni
“Nafikiri ujumbe wa matumaini upo kwenye ujasiri usio na kificho— ujasiri ulio dhahiri wa familia moja, ambao kila mwanafamilia ameupitia.”