Habari kuhusu Amerika Kusini
Rajisi ya Usajili wa Watumiaji wa Simu za Mkononi Nchini Mexico Yazua Hofu Kuhusu Haki ya Faragha
"Uanzishwaji wa rajisi kam hii ulifanyika mwaka 2009, hata hivyo, kanzidata hii iliishia kuvujisha taarifa za watu na baadae kufikia uamuzi wa kuuzwa."
Kwa nini Wakolombia Wazawa Wanaandamana Dhidi ya Rais Ivan Duque?
Wazawa Kolombia wameratibu maandamano ya kitaifa kupinga mpango mpya wa maendeleo wa Rais Duque wakiunganisha nguvu na Wakolombia weusi, wakulima, wafanyakazi na wanafunzi .
Wanaharakati Nchini Colombia Wawasilisha Barua Kuhusu Mauaji ya Viongozi wa Kijamii Huko ICC
Zaidi ya viongozi 163 wa kijamii na wanaharakati wameuawa kwa zaidi ya miaka mitatu iliyopita nchini Colombia.
‘Jeshi halijamuua Yeyote,’ Asema Bolsonaro Baada ya Wanajeshi Kupiga Risasi 80 Kwenye Gari la Familia huko Brazil Na Kuua Mtu Mmoja
"Jeshi la watu, na huwezi kuwatuhumu watu kwa mauaji," alisema rais wa Brazil siku sita baada ya tukio lililoishangaza nchi.
Wanahabari Hawa wa Colombia Wanahitaji Kuelewesha kuwa Pablo Escobar Hakuwa Shujaa
"Huyu 'shujaa' ametulazimisha kujifungia ndani ya nyuma, ametufanya tustukiane, na wakati mwingine kugombana."
Mtunga Sheria wa Kike wa Brazili Ashambuliwa Mitandaoni Kwa Kuvaa Nguo Zinazoonesha Maumbile
"Ushiriki wa wanawake wenye jamii ni mdogo kiasi kwamba suala la mavazi linaweza kukuzwa kupindukia."
Kwa nini Cuba Iliamua Kuwaondoa Madaktari Wao 8,000 Kutoka Nchini Brazili
Havana ilitangaza kusitisha makubaliano yake na Brazil kufuatilia kauli ya rais mteule Jair Bolsonaro kuhusu mradi ambao unadaiwa "kuwa hatari na unapungua thamani yake".
Wahalifu na Vita vya Kibiashara: Ni Mexico ya Aina Gani Inayomsubiri Rais Mpya?
"Leo nchini Mexico mtu hawezi kujipatia mamlaka kwa kutumia silaha, lakini anaweza kuwa na mamlaka wakiwa na salaha."
Nchini Ecuador, Binti Ashinda Haki ya Kutumia Ubini wa Mama Zake Wawili
"Satya, Helen, na Nicola, wamepambana kutimiza ndoto yao ya kuwa na furaha ya familia na hatimaye wamevunja viambaza vya kutengwa na kufanikiwa kujipatia haki ya kuwa sehemu ya familia."
Kumetokea Nini Kwenye Haki za Kidijitali kwa Miaka Saba Iliyopita? Toleo la 300 la Ripoti ya Raia Mtandaoni Litakueleza
Wiki hii katika kusherehekea toleo letu la 300, tunaangazia miaka saba iliyopita ya habari za haki ya kidijitali duniani!