· Januari, 2009

Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Januari, 2009

Meksiko: Mtaalamu wa Kuzuia Utekaji Nyara Atekwa

  28 Januari 2009

Meksiko inakabiliwa na wimbi la uhalifu wa jinai, ambamo wote raia wa ndani na wageni wanaviziwa kutekwa nyara. Tukio la karibuni lilitokea katika Saltillo, Coahuila, wakati mtaalamu wa kuzuia utekaji nyara wa Marekani, Felix Batista alitekwa na watu waliovaa vinyafo usoni. Batista alikuwapo nchini humo kuendesha semina kama mfanyakazi wa...