Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Aprili, 2019
Wanahabari Hawa wa Colombia Wanahitaji Kuelewesha kuwa Pablo Escobar Hakuwa Shujaa
"Huyu 'shujaa' ametulazimisha kujifungia ndani ya nyuma, ametufanya tustukiane, na wakati mwingine kugombana."
Mtunga Sheria wa Kike wa Brazili Ashambuliwa Mitandaoni Kwa Kuvaa Nguo Zinazoonesha Maumbile
"Ushiriki wa wanawake wenye jamii ni mdogo kiasi kwamba suala la mavazi linaweza kukuzwa kupindukia."