Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Juni, 2015
Alama ya #AchaHofu Yatumika Kufuatilia Uchaguzi wa Mexico
Wakati wa uchaguzi wa Jumapili iliyopita nchini Mexico, taasisi ya kulinda uhuru wa kujieleza, ARTICLE 19 iliendesha kampeni ya #RompeElMiedo (#AchaHofu) kwa lengo la kufuatilia usalama wa waandishi wa habari