Habari kuhusu Amerika Kusini kutoka Juni, 2014
Puerto Deseado, Ahera ya Pwani
Kwenye blogu yake Viajes y Relatos, Laura Schneider anasimulia uzoefu wake alipotembelea Puerto Deseado, mji ulioko kwenye Jimbo la Santa Cruz, Ajentina. Katika siku yake ya sita ya safari yake...
Ucheshi na Harakati Kutoka Mexico
JM Casanueva, mwandishi wa blogu ya SocialTIC, anapitia mwelekeo mpya wa harakati nchini Mexico kwenye blogu na kwenye mitandao ya kijamii ambayo inatumia utani kuwafikia watu wengi zaidi: El humor...
Ni Rasmi Sasa, ‘Shoga’ wa Kwanza Kuteuliwa Kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Nchini Puerto Rico
Wakati wengine wakina kuwa usagaji wake si suala la maana, wengine wanasisitiza kuwa hali hiyo ya kimapenzi inahusika katika kile anachokifanya kila siku.
Maandamano ya Kudai Haki ya Kubusu na Barua ya Haki za Mashoga Nchini Cuba
Maandamano ya pili ya Kubusiana ili kutetea Tofauti na Usawa yamefanyika Jijini Havana mwaka huu wakati ambao Mashoga kipindi chenye changamoto kwa Mashoga katika kisiwa hicho.
Uhamaji wa Watoto Wachukuliwa kuwa ni Baa la Kibinadamu
Kutoka Mexico, Katia D'Artigues, ambaye ni mwandishi wa blogu ya Campos Elíseos (Champs Elysées), aandika kuhusiana na watoto kulazimika kuhama wao wenyewe [es], hali inayompelekea kuiita hali hii kuwa ni...
Sababu za Kuishangilia Kodivaa kwenye Kombe la Dunia
Kwenye tovuti ya LaMula.pe, Juan Carlos Urtecho anaeleza sababu zake za kuishangilia Kodivaa kwenye mpambano wa Kombe la Dunia kati ya nchi hiyo na Kolombia siku ya Alhamisi, Juni 19:...
Salamu, Brazil: Mashabiki wa Kiislam wa Kandanda na Kombe la Dunia la FIFA
Raia wa Colombia aliye na makazi yake katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Marcelino Torrecilla anatuhabarisha [es] kuhusiana na upekee wa mashabiki wa kiislamu wa mpira wa miguu kwenye Kombe...
Umuhimu wa Hisabati katika Elimu
Carlos Thompson wa blogu ya Chlewey anaandika [es] juu ya umuhimu wa kufundisha Hesabu nchini Colombia kutokana na nchi hiyo kufanya vibaya kwenye vipimo ya kimataifa vya ubora wa elimu...