Habari kuhusu Censorship
Kukamatwa kwa Mwandishi Mchunguzi Ivan Golunov Kwaleta Mageuzi katika Jamii ya Urusi
Kukamatwa kwa Golunov kumechochea kuungwa mkono kutoka pande zote za maeneo ya kisiasa nchini Urusi.
Umri Mkubwa, Hotuba Za Chuki Uhuru wa Habari: Ajenda Kuu Katika Uchaguzi wa Rais Nigeria 2019
Katikati ya sintofahamu ya kampeni za uchaguzi wa Naijeria — mitaani na mitandaoni — hapa ni baadhi ya masuala yanayoweza kusahaulika katika uchaguzi wa mwaka huu.
Wakati Putin Akihubiri “Uhuru” na Maendeleo ya Teknolojia, Wataalamu Walalamikia Kupotea kwa Uhuru Mtandaoni

Wakati Vladimir Putin akiwaahidi Warusi mtandao wenye kasi zaidi na wa kuaminika, taarifa mbili za makundi ya wataalamu wa kujitegemea waonesha kuzorota sana kwa uhuru wa kutoa maoni mtandaoni.
Serikali ya Samoa Yamkamata Bloga Maarufu ‘Mfaume Faipopo’ kwa Tuhuma za Kumkashifu Waziri Mkuu

"Sheria mpya, ambayo imetokana na sheria ya zamani ya maandishi ya kukashfu, tangu ukoloni, imewasukuma viongozi wa Samoa kugeuka na kuangalia nyuma badala ya kuangalia mbele."