Habari kuhusu Censorship kutoka Oktoba, 2016
Urusi Inadaiwa Kuwa na Mpango wa Kuufungia Mtandao wa LinkedIn

LinkedIn, mtandao mkubwa zaidi unaowaunganisha wataalaam duniani kote, uko hatarini kufungiwa nchini Urusi, ambako wapelelezi wa serikali wamefanikiwa kuishawishi mahakama moja mjini Moscow kuufungia mtandao huo.
Serikali ya Ethiopia Yazima Intaneti ya Simu za Mkononi na Mitandao ya Kijamii

Wale wanaoufuatilia mwenendo wa mambo wanahofia kuwa hatua hii inaweza kuwa dalili ya mwanzo wa hatari kwa maandamano hayo yaliyoendelea kwa miezi 12.
Nchini Tanzania, Kusema Msimamo Wako wa Kisiasa Mitandaoni Inazidi Kuwa Hatari

Tangu Rais John Magufuli ashinde uchaguzi wa Rais mwezi Oktoba 2015, watu 14 wameshakamatwa na kupandishwa kizimbani kwa kutumia mitandao ya kijamii kumtukana Rais