Habari Mpya

Kwa nini Kiswahili hakijawa lugha inayounganisha Afrika?

  14 Oktoba 2022

Ushawishi wa kigeni pia huenda ukatatiza “kukubalika” kwa Kiswahili. Afrika kwa sasa inategemea pakubwa China kwa msaada wa kifedha. Na kwa upande wake, China inatumia nafasi hiyo, kupenyeza lugha ya Mandarin katika nchi nyingi za Afrika, ambazo ni pamoja na Kenya.

Je Sera ya Lugha Tanzania inabagua lugha za asili?

Kuna takribani lugha 150 nchini Tanzania, lakini lugha ya Kisawhili imepewa upendeleo mkubwa, hasa katika muktadha wa elimu ya msingi. Wanazuoni Hannah Gibson (Chuo Kikuu cha Essex) na Gastor Mapunda (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam) wanatoa maoni yao kwa ufupi kuhusu hali hii kwa kutumia matokeo ya utafiti unaochunguza...

Kumbukumbu za Mwezi

Waandishi

Karibu kujiunga nasi

Kama ungependa kuungana nasi, tafadhali jaza fomu hii ya kujiunga au wasiliana na Mhariri kwa barua pepe: christianbwaya [at] gmail [dot] com