Novemba, 2012

Habari kutoka Novemba, 2012

Mwanzilishi wa Kikundi cha Kijeshi Kilichofutwa Nchini Pakistani Ajitolea Kuisaidia Marekani.

Wakati kukiwa na makelele na uharibifu mkubwa huko ukanda wa pwani ya mashariki mwa Marekani unaotokana na kimbunga kikubwa kijulikanacho kwa jina la Sandy, Hafiz...

Dunia Iwatetee Wanablogu Raia wa Vietnam Waliofungwa Gerezani

Mradi wa Tafsiri: Kauli ya Linda Uhuru wa Intaneti Ulimwenguni

Katika siku saba zijazo, Wafasiri wa Kujitolea wa Mradi wa Lingua wa taasisi ya Global Voices watakuwa wakitafsiri makala maalumu ambayo ni harakati ya utetezi...

Watoto wa Mitaani Bangladesh Wakabiliwa na Unyanyasaji

Jumla ya watoto wa mitaani nchini Bangladeshi wanakadiriwa kufikia 400,000. Karibu nusu ya idadi hiyo wanaishi katika Jiji la Dhaka. Asilimia kubwa ya watoto hao...

Maelfu Watia Saini Pendekezo la Zawadi ya Nobel na Kusherehekea Siku ya Malala

Mwanaharakati wa elimu mwenye umri wa miaka 15 -- Malala Yousufzai -- aliyepigwa risasi mnamo tarehe 9 Oktoba 2012 na wanamgambo wa TTP, anaendelea kupata...