Habari kutoka Machi, 2014
Mwanamke wa Misri: “Funga Mdomo Wako Obama!”
Tazama video hii ya mwanamke wa Kimisri akimwomba Rais wa marekani Barak Obama 'kufunga mdomo wake' ambayo inasambaa mtandaoni.
Walebanoni Wazindua Kampeni ya Kuwatetea Wasyria Dhidi ya Ubaguzi wa Rangi
Watu wa Lebanon wameshikamana kutoa mwito wa kumaliza ubaguzi wa rangi dhidi ya wakimbizi wa Wasyria wanaoishi nchini humo, anaandika Joey Ayoub. "Nyumbani kwetu, ni...
Misri Yawahukumu Kifo Wafuasi 529 wa Muslim Brotherhood
Misri leo [Machi 24] imewahukumu kifo wafuasi 529 wa chama cha 529 Muslim Brotherhood kw akuhusiaka kwenye ghasia na vurugu zilizotolea Minya, kaskazini mwa Misri...