Nguyen Hoang Vi, Mwanablogu raia wa Vietnam aliyetupwa gerezani kwa sababu ya kuandika maoni yaliyoikosoa serikali
Suala
la Nguyen Hoang Vi, Mwanablogu raia wa Vietnam aliyetupwa gerezani kwa sababu ya kuandika maoni yaliyoikosoa serikali, ni mmoja ambaye suala lake limeibuliwa na makundi ya kutetea haki za watu wakati ambapo dunia inajiandaa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Udhalimu wa Watawala hapo kesho tarehe 23 Novemba.