Habari kutoka Septemba, 2014
Blogu Sita za Kiingereza Zinazoweza Kukusaidia Kuielewa Japani
Orodha ya blogu bora za Kijapani zinazoandika matukio, utamaduni, siasa, uhalifu unaotokea Japani na zaidi. Kama kuna blogu tumeisahau, tafadhali iongeze kwenye kisanduku cha maoni!
Tamasha la Kwanza la ” Africa Web Festival” Litafanyika Jijini Abidjan, Côte d'Ivoire
Tamasha la kwanza la Africa Web Festival litafanyika jijini Abidjan, Côte D'Ivoire (Novemba 24-26). Tamasha hilo litawapa fursa wabunifu wa Afrika kushiriki kwenye mashindano (zoezi la...
Polisi wa Hong Kong Wawapiga Mabomu ya Machozi Waandamanaji Wanaodai Demokrasia
Polisi walipambana na waandamanaji baada ya maandamano ya kukaa katikati ya jiji la Hong Kong kudai uchaguzi wa demekrasia halisi.
Huduma za Afya nchini Madagaska Zinaweza Kukabiliana na Mlipuko wa Ebola?
Nchi kumi na tano za Afrika ikiwemo Madagaska ziko kwenye hatari zaidi ya maambukizi ya Ebola kwa sababu zina mazingira yanayofanana na yale ya nchi...
Vyombo vya Habari Vyaususia Wimbo wa Kupigania Uhuru Ulioimbwa na Msanii Maarufu Nchini Macedonia
Msanii maarufu wa Macedonia wa miondoko ya kufoka foka amejikuta akipoteza umaarufu baada ya kuachia ‘kibao’ kinachojadili masuala ya uhuru wa habari nchini Macedonia.