Habari kutoka Mei, 2014
Mazungumzo ya GV: Ukoaji wa Mafuriko Uliowezeshwa na Watu Nchini Serbia
Juma hili tunazungumza na marafiki waishio Serbia wanajihusisha na jitihada za ukoaji. Je, ni hatua zipi zinazochukuliwa na wananchi na serikali? Na kwa nini mitandao...
Mwimbaji Mwingine Akamatwa China kwa Kuusifu Utamaduni wa Kitibeti
Kufuatia kukamatwa kwa mwimbaji wa Kitibeti Gepe nchini China,hapa ni mtiririko wa matukio ya jinsi hiyo sambamba na video za nyimbo husika kwenye mtandao wa...
Sisi Ashinda Uchaguzi wa Rais Misri; Mpinzani Pekee Sabahi Ashika Nafasi ya Tatu
Jenerali Abdel Fattah Al-Sisi ameshinda urais kwa kishindo, huku akimbwaga mpinzani wake wa pekee Hamdeen Sabahi, ambaye ameshika nafasi ya tatu. Baada ya siku tatu...
Wanafunzi Waandamana Nchini Chile Kudai Mageuzi ya Kielimu
Katika maeneo kadhaa nchini Chile, maandamano ya wanafunzi kudai elimu ya bure na kushirikishwa kwenye mabadiliko yanayoendelea nchini humo yalifanywa Mei 8, 2014. Hata hivyo,...
Watu Wenye Ulemavu Kugombea Katika Uchaguzi wa Umoja wa Ulaya
"Sisi ni kikundi cha watu walioathirika, moja kwa moja au kwa namna moja au nyingine na ulemavu au lugha nyingine magonjwa nadra, tumeungana kwa lengo...