Habari kutoka Februari, 2012
Colombia: Mwanahabari Raia Atishwa Kuhusu Video Iliyoenea
Mwanahabari raia Bladimir Sánchez ameshapata vitisho kwa maisha yake kwa kueneza video inayoonhesha kuhamishwa kwa fujo kwa wakulima na wavuvi wanaopinga ujenzi wa bwawa la...
Habari za Ulimwengu: Mikesha ya Mshikamano na Wanatibeti
Tangu mwezi Februari 2009, WaTibeti 23 wamejichoma moto ili kudai Tibeti huru na kurejea kwa Dalai Lama. Katika mwezi wa mwaka mpya wa kiTibeti, wanaharakati...