Habari kutoka Disemba, 2012
Kenya: Kufundisha Uvumilivu wa Kikabila Kupitia Hadithi za Sayansi
Watoto wa Kenya wanafundishwa uvumilivu wa kikabila kupitia hadithi za sayansi: “Kushambuliwa kwa akina Shida:Bunduki za AKA Zaokoa Sayari” ni hadithi inayozungumzia maisha ya jamii...
Chama cha Upinzani NPP Chapinga Matokeo ya Urais Ghana Mahakamani
Chama Kikuu cha Upinzani nchini Ghana, NPP, kimegoma kuyakubali matokeo ya uchaguzi wa Rais. Mnamo tarehe 9 Desemba 2012, Tume ya Uchaguzi ilimtangaza Rais Mahama...
Matajiri Wakubwa China na Marekani Walinganishwa
Liz Carter kutoka tovuti ya Tea Leaf Nation (Taifa la Jani la Chai) alitafsiri taarifa ya picha ya tovuti ya CN politics [zh] (CN siasa),...
Assad atumia Ndege ya Kivita Kuwaua Raia Wake
Serikali ya Syria imefanya shambulizi kubwa la angani dhidi ya raia wa nchi hiyo -waliokuwa wamesimama kwenye foleni waisubiri mikate kwenye kiwanda cha kuokea miakte...
Walimu wa Mauritania Wavunja Ofisi ya Waziri wa Elimu
Kundi la walimu wa sekondari lilivunja na kuingia kwenye ofisi ya Waziri wa Elimu katika maandamano ya kipinga kuhamishwa kiholela kwa walimu wapatao 120 baada...
Kupigia Kura Maajabu Saba ya Dunia barani Afrika
Shindano la kila mwaka limezinduliwa kwa ajili ya watu kupiga kura kuchagua maajabu saba yaliyo bora zaidi barani Afrika. Na tayari upigaji kura umeshaanza. Baadhi...