Unaona lugha zote hapo juu? Tunatafsiri habari za Global Voices kufanya habari za kidunia zimfikie kila mmoja.

Kupigia Kura Maajabu Saba ya Dunia barani Afrika

Shindano la kila mwaka limezinduliwa kwa ajili ya watu kupiga kura kuchagua maajabu saba yaliyo bora zaidi barani Afrika, na upigaji kura umeshaanza. Shindano hili limeratibiwa kwa juhudi za watu wa kawaida ulimwenguni kote walioanzisha Maajabu Saba ya Dunia na kwa sasa wanahusisha tovuti 12 kutoka barani kote.

Fahamu orodha fupi ya washiriki na hata washindani walipendekezwa lakini hawakubahatika kuingia katika hatua ya kupigiwa kura mwaka huu.

Delta ya Okavango Delta, Botswana

   

  

Uwanja wa Maoni Umefungwa