Habari kuhusu Zambia
Hofu ya Yaliyotokea? Likizo ya Rais Mpya wa Zambia Yaibua Mjadala wa Afya Yake
Raia wa Zambia wanajiuliza maswali kuhusu afya ya Rais Lungu, pamoja na cheti cha afya kuonesha yu mzima, kufuatia likizo yake majuma mawili tu tangu ashike madaraka kumrithi Michael Sata, aliyefariki akiwa madarakani.
Siasa za Afya ya Rais Nchini Zambia
Ajong Mbapndah wa Pan African Vision anazungumza na Gershom Ndhlovu kuhusu siasa zinazozunguka ugonjwa na kifo cha Rais wa Zambia Michael Sata: Rais Michael Sata siku za hivi karibuni amefariki...
Miaka 50 Baadae, wa-Zambia Wanajiuliza Nini Maana ya Uhuru
Wakati wa-Zambia duniani kote wakisherehekea siku kuu hiyo kwa vyakula, rangi rasmi za nchi hiyo na chochote walichoweza kukifanya, baadhi ya wachunguzi wa mambo waliibua maswali mazito kuhusu historia na mustakabali wa nchi hiyo.
Baraza la Mawaziri Nchini Zambia Lichunguze Afya ya Rais
Kwa mtazamo wa tetesi zilizoenea sana kuhusu afya ya rais wa Zambia, Michael Sata, Gershom Ndhlovu ana hoja kwamba katiba inalipa Baraza la Mawaziri mamlaka ya kuchunguza afya yake: Mara...
Rais wa Zambia Ajaribu Kuthibitisha Kuwa Yuko ‘Fiti’ kwa Picha Hizi za Facebook. Baadhi Hawajashawishika
Raia wa Zambia wanaendelea kuwa na wasiwasi wa safari za kimya kimya anazofanya Rais Sata nje ya nje, ambazo zimekuwa zikiitwa na serikali kuwa likizo za kikazi
Kijana Huyu Mwenye Asili ya Zambia Awa Mwanafunzi wa Kwanza Kuwa Mtalaam wa Kutegemewa na Microsoft
Kijana wa miaka 15 mwenye asili ya Zambia ameishangaza dunia ya teknolojia ya habari na mawasiliano kwa kuwa mmoja wa wataalam wadogo wa Microsoft barani Ulaya
Je, Madaraka ni Matamu Kiasi cha Watawala wa Afrika Kushindwa Kuyaachia?
Gershom Ndhlovu anaangalia sababu za kwa nini watawala wa Afrika hawataki kuachia madaraka: Kumekuwepo na tetesi, dondoo na hata uvumi kuhusu afya au basi udhaifu wa afya ya Rais wa...
Ni kazi Ngumu Kuwa Kiongozi wa upinzani Nchini Zambia
Gershom Ndhlovu anaelezea ni kwa nini ni vigumu kuwa kiongozi wa upinzani nchini Zambia: kwa kweli ni kazi ngumu kuwa kiongozi wa upinzani nchini Zambia. Unakabiliana na polisi kila siku,...
Zambia: Ukurasa wa Facebook wa Mke wa Rais wa Zamani Waghushiwa kwa Utapeli wa Ufadhili wa Masomo
Yeye si mtu maarufu nchini Zambia waliowahi kukuta akaunti bandia zikifunguliwa kwa majina yao. Ukurasa bandia wa Facebook kwa jina makamu wa rais wa nchi hiyo ilifunguliwa hivi karibuni.
Zambia: Filamu yaYouTube Kuhusu Athari za Machimbo ya Madini
Filamu ya Uchunguzi yenye jina "Zambia: Shaba Nzuri, Shaba Mbaya" inayohusu machimbo ya shaba nchini Zambia na athari zake kwa jamii imewekwa kwenye mtandao wa YouTube na mpaka sasa imevuta watazamaji zaidi ya 6,000. Baada ya kuitazama filamu hiyo, mtumiaji mmoja wa mtandao wa YouTube aliandika, "Jililie eeh nchi yangu nzuriKwa nini tubaki masikini katikati ya utajiri huu wa madini yanayochimbwa kwa gharama ya afya za wenyeji?"