Ni kazi Ngumu Kuwa Kiongozi wa upinzani Nchini Zambia

Gershom Ndhlovu anaelezea ni kwa nini ni vigumu kuwa kiongozi wa upinzani nchini Zambia:

kwa kweli ni kazi ngumu kuwa kiongozi wa upinzani nchini Zambia. Unakabiliana na polisi kila siku, hatari ya kutupiwa gesi ya machozi au hata kufungwa kwa ajili ya kufanya kazi ambayo lazima uifanye – Kukutana na wapiga kura hata wakati ambapo uchaguzi ni miaka mitano ijayo au kufanya kazi muhimu zaidi, ile ya kutoa hundi na mizani. Wabunge wa upinzani huchukuliwa kwa hiari yao na mkuu wa nchi.

Kama kuna maneno matupu ambayo yanatumika katika hali hii ni ile ya “historia kujirudia yenyewe.” Mchakato wa unyanyasaji, kwa kuwa hivyo ndiyo ivyo, huelekea kuandaa viongozi kwa wakati ambao wataichuchukua serikali na kutumia mbinu sawa na wale ambao huangukia katika nafasi ya bahati mbaya ya kuwa viongozi wa upinzani hasa kama wao ni maarufu.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.