Habari kuhusu Lesotho

Habari Mpya za Mgogoro wa Kisiasa Lesotho Kupitia Twita

  6 Septemba 2014

Mfuatilie @nthakoana (Nthakoana Ngatane) kupata habari mpya zinazohusu mgogoro wa kisiasa nchini Lesotho. Nthakoana Ngatane ni mwandishi, msemaji, mwimbajii, mwigizaji na mwakilishi wa SHirika la Habari la Utangazaji la Afrika...

Je Kulikuwa na Jaribio la Mapinduzi Nchini Lesotho?

  4 Septemba 2014

Sikiliza sauti inayoelezea kile hasa kinachoendelea nchini Lesotho kufuatia madai ya mapinduzi ya kijeshi: Waziri mkuu amekimbilia nchini Afrika Kusini na anasema ni mapinduzi ya kijeshi. Jeshi la Lesotho linasema...

Gwaride la Kwanza la Mashoga Nchini Lesotho

  7 Juni 2013

Leila Hall anablogu kuhusu gwaride la kwanza la mashoga kuwahi fanyika nchini Lesotho: Tukio hilo limeandaliwa na Kikundi cha Kutoa msaada cha MATRIX- Shirika lisilo la kiserikali la Lesotho- linatetea haki za watu...

Lesotho: Uchaguzi wa amani ambao hukuusikia

  2 Juni 2012

Lesotho, nchi ndogo inayozungukwa na Afrika Kusini pande zote, ilifanya uchaguzi wa wabunge Jumapili, uchaguzi ulioendeshwa kwa utulivu, lakini uchaguzi huo haukupewa uzito na vyombo vikuu vya habari.

Wapiga picha wa Kiafrika, waandishi na wasanii wapata sauti zao kwenye blogu

  20 Disemba 2009

Kadri Waafrika wengi wanavyozidi kugundua nguvu ya kublogu kama zana ya kutoa maoni kwa kiwango cha dunia nzima, tarakimu ya wanablogu imeongezeka na pia maudhui yanayopewa kipaumbele. Kwa tarakimu hiyo ya kukua kwa blogu, wasanii wengi wa Kiafrika wamejiunga, na ongezeko kubwa likionekana kwenye blogu za mashairi kama ilivyo kwa upigaji picha unaochipukia na blogu za sanaa za maonyesho. Tunazipitia baadhi.