Habari kuhusu Teknolojia
Angola Yakabiliana na Tuhuma za Ubadhilifu kwa Kufuta Zabuni, Serikali Yadaiwa Kugawanyika
kampuni ya Telstar ilianzishwa mwzezi Januari 2018 na mtaji wa Kwanza 200,000 (sawa na dola za kimarekeni 600), na mdau mkubwa ni general Manuel João Carneiro.
Kwanini Serikali za Afrika Zinapinga na Uhuru wa Vyombo vya Habari na Kutoa Maoni? Inawezekana Sababu ni Nguvu Kubwa Nyuma Yake

Kelele tunazopiga kwenye majukwaa ya kidijitali zinawaogopesha watawala kandamizi. Kuna visa kadhaa vya watawala kuchukua hatua kuzima kelele hizo.
Watumiaji wa Mitandao ya Kijamii Wapinga Udhalilishaji Nchini Pakistani -Lakini Je Taasisi za Serikali Zitatimiza Wajibu Wake?

Kukamatwa kwa Aimal Khan kufuatia kilio kilichoanzia kwenye mitandao ya kijamii ni dalili nzuri. Lakini je, haki itatendeka?
Kumetokea Nini Kwenye Haki za Kidijitali kwa Miaka Saba Iliyopita? Toleo la 300 la Ripoti ya Raia Mtandaoni Litakueleza

Wiki hii katika kusherehekea toleo letu la 300, tunaangazia miaka saba iliyopita ya habari za haki ya kidijitali duniani!
Taarifa ya raia mtandaoni: Nani Atafuata? Mgogoro wa Kisiasa Venezuela Unaonesha Wimbi Jipya la Udhibiti, Ukandamizaji wa Vyombo vya Habari

Taarifa ya raia mtandaoni ya Advox inatoa picha ya haraka kimataifa juu ya changamoto, ushindi na mienendo inayoibuka katika haki za kimtandao duniani