Habari kuhusu The Bridge
Je Sera ya Lugha Tanzania inabagua lugha za asili?
Kuna takribani lugha 150 nchini Tanzania, lakini lugha ya Kisawhili imepewa upendeleo mkubwa, hasa katika muktadha wa elimu ya msingi. Wanazuoni Hannah Gibson (Chuo Kikuu cha Essex) na Gastor Mapunda...
Wakombozi wa Kizungu, Shule za ki-Liberia
Kwa baadhi ya nchi za Kiafrika, dhana ya kubinafsisha mfumo wa elimu kwa Asasi za Kiraia zenye fedha haikwepeki. Lakini wanaoathiriwa na matokeo ya ubinafsishaji huo ni wanyonge.
“Nilitamani Wajukuu wangu Wakulie kwenye Nyumba Ile”:Ushuhuda wa Mwanamke wa Syria mwenye Miaka 61 kutoka Zamalka
Nilitamani wajukuu wangu wakulie kwenye nyumba ile, na hivyo kuweza kuongozea uhai mpya nyumbani pale, kama walivyofanya mabubu zetu wa kila kizazi kilichopita.
Kama Ningekuwa na Bunduki
"Ninapofikiria nyakati kama hizi niliposhambuliwa au kuona mashambulizi, siwezi kufikiri hata mara moja namna gani silaha ingefanya matokeo yawe mazuri zaidi"
Yafanyike Mashambulizi Mangapi Dhidi ya Watalii Ili Afrika Magharibi Iandae Mkakati wa Pamoja wa Kikanda?
"Hatari haipo mbali kama tunavyoweza kufikiri. . . . Na pia, mashambulizi yana nafasi ndogo sana kuhusu amani ya ndani au uhusiano kati ya makundi ya kidini."
Mitaa ya Paris Inavyonikumbusha Mitaa ya Beirut
"Hatujapata kitufe cha 'salama' kwenye mtandao wa Facebook. Hatujapata salamu za pole usiku wa manane kutoka kwa watu maarufu zaidi duniani pamoja na mamilioni ya watumiaji wa mtandao..."
Uandishi wa Habari Unapokuwa Haitoshelezi
Andiko la mada ambayo inahitaji majibu yanayokidhi, uandishi wa kizamani unaweza silaha inayofaa