Habari Kuu kutoka Podikasti za Global Voices
Habari kutoka Podikasti za Global Voices
Mambo Si Kama Yanavyoonekana Kuwa: Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices
Wiki hii, tunakuchukua kwenda Paraguay, Iran, Qatar na eneo la Caribiani.
Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices: Anahitaji Kutendewa Haki
Wiki hii, tunakuletea wanawake wanaosaka au wanaopata haki zao nchini Poland, Uruguay, Urusi na Syria.
Matangazo ya ‘Kwa Kina': Kura ya Hapana kwa Amani ya Colombia
Wiki hii, tunakuletea habari za kina kuhusu sababu ya raia wa Colombia kupiga kura ya hapana kupinga mkataba wa amani ambao ungemaliza vita vilivyodumu kwa zaidi ya miaka 50.
Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices: Sisi, Raia
Wiki tunaongea na waandishi wetu Elizabeth Rivera, Giovanna Salazar na Juan Tadeo kuhusu upinzani wa kisiasa unaozidi kupata umaarufu nchini Mexico.
Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices: Kuchezea Amani
Wiki hii, tunakupeleka Ukraine, Russia, Singapore, India na Brazil.
Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices: Hatutaki Mazoea
Wiki tunakusimulia visa vya maandamano, majanga na ubaguzi vinavyofanyika Ethiopia, Egypt, Pakistan, Trinidad na Australia.
Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices: Siasa za Pokémon Go
Kwenye kipindi cha wiki hii, tunakupeleka Iran, Japan, China, Mexico na Timor-Leste.
Matangazo ya Sauti ya ‘Wiki Ilivyokwenda’ Global Voices: Ndugu, Timiza wajibu Wako: Uhuru, Si Udhibiti
Wiki hii tunakuchukua mpaka Puerto Rico, Kashmir, jimbo linalotawaliwa na India, Nepal, China na Myanmar.
“Wiki Ilivyokwenda” Global Voices: Kujitoa kwa Uingereza Kutoka Umoja wa Ulaya Kwawa Gumzo
Wiki hii, tunakupeleka kwenye nchi za Caribbiani, Brazil, urusi, Tanzania na Azerbaijan.
Matangazo ya Sauti ya ‘Wiki Ilivyokwenda’ Global Voices: Ndugu, Timiza wajibu Wako
Wiki hii tunakupeleka Urusi, India, Madagascar, Venezuela na Singapore.