Makala haya ni sehemu ya mpango wa The Bridge, unaowawezesha waandishi wetu wa Global Voices kuandika maoni, uchambuzi na uchunguzi wao kwa mitazamo yao wenyewe

RSS

Habari kuhusu The Bridge

Kimbia! Waislamu Wanakuja!

  23 Septemba 2014

Mtazamo wa vyombo vikuu vya habari mara nyingi unaonesha “Waislamu” wenye sura moja kubwa, ambayo haikosi kuwa na ghasia. Kwenye kichekesho hiki kisicho na maana yoyote, Mchekeshaji wa ki-Pakistani Sami Shah anakuletea makundi makuu ya “waislamu”.