Mambo Muhimu ya Kuzingatia Kwenye Uchaguzi Mkuu Nchini Kenya Agosti 8

Mashabiki wa chama cha ODM wakiwa wamebeba picha ya mgombea wa chama chao Raila Odinga mwaka 2007. Odinga anagombea Urais kwa mara ya tatu mwaka huu. Picha na Demosh (CC BY 2.0)

Endapo majaliwa  tarehe 8 Agosti, mamilioni ya Wakenya wanatarajiwa kupiga kura zao katika moja ya chaguzi kuu zinazotarajiwa kuwa na ushindani wa kipekee kufikia leo hii. Kura hizo zitawaendea wagombea 290 nafasi ya ubunge,  wawakilishi 47 wanawake kupitia nafasi za viti maalum, maseneta na magavana 47, sambamba na Raisi wao.

Kura za urais zitapigwa baina ya  mgombea wa mwaka 2013 aliyeko madarakani kwa sasa Rais, Uhuru Kenyatta na mpinzani wake wa awali, waziri mkuu mstaafu mheshimiwa Raila Odinga. Katika hali ya kawaida, uchaguzi huu unatarajiwa kuleta ushindani mkubwa baina ya wagombea hao wawili ,Kenyatta and Odinga, ukichochea mabadiliko ya siasa na uchumi nchini hapo.

Nchi hiyo ya Kenya ikiwa kama muhimili wa uchumi, utekelezaji mororo wa uchaguzi huo tarehe 8 Agosti ni muhimu kwa mustakabali wa Afrika Mashariki yote. Kenya inabaki kuwa moja kati ya nchi zenye uchumi mahiri barani Afrika na alama yoyote tete kiuchumi au kisiasa itapelekea athari hadi nje ya mipaka. Upo ushahidi wa hapo awali kwamba kwamba hofu za nchi kuyumba baada ya uchaguzi zimeathiri uchumi wa nchi.

Haijalishi nani atashinda, ni dhahiri kwamba wagombea watahoji kuhusu matokeo hatua ambayo watafiti huita chaguzi zenye gharama sana Afrika. Madhara ya changamoto yoyote aina hii huleta hofu inayovuruga  kujiamini kwa tume huru ya uchaguzi (IEBC) na mahakama mbele ya umma, taasisi hizi zinawajibu a kushuhulikia usalama na uadilifu wakati wa uchaguzi. Imani ya umma juu ya taasisi hizi kwa mara ya mwisho ilikuwa kiwango cha chini sana mwaka 2007, na umwagikaji wa damu unaendelea kusimama ikiwa ni ishara kamili kwamba umma hawana imani juu ya taasisi hizo .

Katika uchaguzi wa 2013, ambapo Kenya haikurudia yaliotokea 2007-08 na kufanya uchaguzi wa amani kabisa, Affika ya Mashariki ilijiinua kwa pamoja ikiwa na kofia za shangwe kwa ahueni ambazo zilisikika barani nzima mwa Afrika na kufikia sehemu nyingi duniani. Haya yalitokea kama sehemu katika mzunguko wa uchaguzi: mvutano wa kisiasa huinuka pale viongozi waliopo madarkani wnapojaribu kutetea nafasi zao, mnamo mwaka 2013 kiongozi liyekuwa madarakani Rias  Mwai Kibaki alikuwa tayari mekwisha tumikia taifa kwa vipindi viwili mfululizo na hakuwa na vigezo kama mgombea tena katika uchaguzia. Lakini pia taasisi za kusimamia uchaguzi  IEBC na mahakama zilijiaminisha kwa umma ukilinganisha na uchaguzi uliopita.

Katika majira haya , tabia zisizofaa zimekua zikijitokeza kuzuia uchaguzi wa amani. Awali ya yote, Bwana Kenyatta amesadikika kuwa na anashauku ya kuchaguliwa kwa awamu nyingine ,hali itakayopelekea matumizi mabovu ya rasilimali ili kurejesha madaraka. Kwa kina zaidi, imani ya umma juu ya taasisi  ya kusimamia uchaguzi na mahakama imeshuka kwa kiasi fulani ukilinganisha na mwaka 2007, . Taasisi zote hizi zimejikuta chini ya mashambulizi kutoka pande zote za upinzani, hali imekua tete kwa IEBC, na serikali, ambao wetua kukosolewa kwao kwa mahakama. Baadhi ya barua zimetumwa na mheshimiwa Rias Kenyatta ziifikie mahakama . Hali kama hizi zinajenga changamoto wakati wa matokeo kutangazwa kwa hapo baadae.

Mambo muhimu yakuzingatiwa

Tume ya Uchaguzi: inayofahamika kama IEBC  imekuwepo tangu mwanzoni mwa mwaka, na madai yaliyooanishwa na ukiukwaji wa sheria, uhaba wa vifaa, na uwazi katika swala zima la manunuzi. Pia imehusishwa na shutuma kuhusiana na viashiria vya IEBC kusimamia na kutekeleza wajibu wao bila kufuata taratibu zilizowekwa. Kusimamia uchaguzi wa Rais,magavana,maseneta na wawakilishi wanawake viti maalum ni changamoto kubwa katika hali ya kawaida, lakini ucheleweshwaji wa kuwapumzisha viongozi walioko madarakani na tuhuma za kifedha zinazokipiga chombo hicho, kuaminika na sifa za vigingi  kwa tume hiyo ni dhahiri bila pingamizi vimeongezeka.

Uwezkano mkubwa wa ukaribu wa uchaguzi katika ngazi zote ya kata na urais inapelekea hali kuwa tata zaidi. Ikikadiriwa kwamba wagombea wote sio Odinga wala Kenyatta wakakosa asilimia 50% +1 oya kura zitkazopigwa, hali itakyopelekea kurudiwa kwa uchaguzi kwa awamu ya pili. Hii haijawahi kutokea na itafikia wakati ambapo migandamizo ya kisiasa na kijamii iko juu sana  na kuihemea IEBC.

Ukiacha uchaguzi wa Rais pembeni, inawezekana pia uongozi flani na chaguzi nyingine kwenye ngazi za chini isitangaze washindi stahiki. Je, IEBC itaweza kuyashikilia haya yote kwa pamoja?

Uchumi: Ingawa tofauti za kikabila zimekuwa zikiangaliwa sana katika chaguzi za Kenya, mwaka huu kigezo cha  uchumi kilipewa kipaumbele. Mfumuko wa bei umeongezeka, ukiongozwa na gharama za chakula, kufikia asilimia  21% mwaka hadi mwaka mnamo  Aprili. Hali iliyosababisha kujengwa kusikika kwa mfumuko wa bei kwa mfululizo kwa muda wa miaka mitano kufikia 11.5%  Aprili 2017, juu kutoka 10.3% Machi.

Ongezeko la gharama za chakula lilmesababishwa na ukame kwa baadhi ya maeneo ya nchi,ambapo imepelekea kupanda kwa bei kwa bidhaa muhimu kama mahindi, sukari na mbogamboga, huku baadhi ya maeneo malighafi hizo zikikosekana kabisa. Kukosolewa kwa serkali kushindwa kuhimili hali kama hii, kiuhalisia, kutaleta tafsiri ya maandamano wakati wa uchaguzi.

Ulinzi: ni moja kati ya mfanano baina ya uchauzi wa 2017 na 2013 mazingira ya uendeshwaji wa tukio zima la uchaguzi ni kutokuwepo kwa ugaidi au wapiganaji wa kikundi cha al-Shabaab ukweli ni kwamba Kenya inabaki kuwa katika hali ya vita kama kampeni. Ilichukua takribani miezi miwili tu baada ya kumalizika kwa uchaguzi mwaka 2013 ambapo  al-Shabaab walifanya tukio lililofahamika kama horrific events at the Westgate Shopping Centre lililoua watu 67.Lakini ugaidi na na usalama duni nchini Kenya bado ni tatizo makundo kama  al-Shabaab na mengine yanaweza kutumia upepo wa uchaguzi kuivamia Kenya  Agosti 8, au hata siku za usoni baada ya uchaguzi.

Mazingira yasiyoeleweka baada ya Uchaguzi

Pata picha kila kitu kiekwenda sawa wakati wa uchaguzi, nafasi ya uchaguzi ikikihimiwa na yoyote kati ya Kenyatta au Odinga, matatizo yakaendelea kufurukuta – zaidi kiuchumi: Kenya ina malimbikizi ya madeni.Tulianzia mwishoni mwa kalenda ya mwaka huu hadi hapo 2019, fedha zinatarajiwa kutokana na mdandamizo uliosababishwa na madeni ya nje. Kwa mfano, mwezi Disemba, mkopo wa dola milioni za Marekani $  , kuulinda Octoba 2015,  will be. Sambamba na malipo yanayotarajiwa Jun750e 2018 ya zipatazo milioni  $600 dola za kimarekani kutoka African Export-Import Bank, zilizokopwa hapo awali ktutoa msaada kufungua Kenya Airways.

Vilevile, itakapofikia mwaka 2019, dola za kimarekani milioni $750 zilizotolewa na Eurobond, mwaka 2014, zitatakiwa kurejeshwa Disemba pale ambapo muda wake utafikia tamati, ikiwa sawia na sehemu ya pesa taslmiu milioni $800 fedha za Marekani  iliyoandikwa na commercial Bank, ikijumuisha Citigroup, Standard Bank, Standard Chartered and Rand Merchant Bank. Malipo haya yatapelekea kuongezea kwa huduma za malipo kwa nchi za nje kwa nguvu 242%, kutoka dola milioni  $424  hadi  $1.4 dola bilioni kwenye bajeti ya  2017-18. hii imesababishwa na kushuka kwa thamani ya shilingi ya Kenya ukishindwa nguvu na dola la Marekaniambapo wakenya wengi wamelia huko. Napenda kusema,Rais mpya anaweza akakosa muda wa kutosha kuota katika utukufu wa ushindi aliopata.

Anza mazungumzo

Mwandishi, tafadhali jiandikishe »

Miongozo

  • Tafadhali wape heshima watumiaji wengine. Maoni yenye lugha ya chuki, matusi na mashambulizi binafsi hayataruhusiwa.