Habari kuhusu Asia ya Kusini au Asia Mashariki au Asia ya Kati au Nchi za Visiwani
Mshindani wa Msumbiji Ashinda Mashindano ya Kimataifa ya Kutunisha Misuli nchini Hong Kong
Saraiva ni mtu mashuhuri kwa kutunisha misuli nchini Msumbiji.
Mwanaharakati Raia wa Singapore Ahukumiwa Kifungo cha Siku 16 Jela kwa Kuzungumza na Joshua Wong Kiongozi wa Vijana wa HK

"Hakuna hukumu ambayo ningeweza kuichukulia kama ya haki, kwa sababu hakukuwa na kufunguliwa mashtaka kabisa."
Serikali ya Samoa Yamkamata Bloga Maarufu ‘Mfaume Faipopo’ kwa Tuhuma za Kumkashifu Waziri Mkuu

"Sheria mpya, ambayo imetokana na sheria ya zamani ya maandishi ya kukashfu, tangu ukoloni, imewasukuma viongozi wa Samoa kugeuka na kuangalia nyuma badala ya kuangalia mbele."
Australia Waikumbuka Jumamosi Nyeusi kwa Kuadhimisha Miaka 10 ya Janga la Moto wa Nyika
"Miaka kumi kamili, na bado sidhani kama kuna siku imepita bila kuitaja – au hata kufikiria – tukio la moto"
Watumiaji wa Mitandao ya Kijamii Wapinga Udhalilishaji Nchini Pakistani -Lakini Je Taasisi za Serikali Zitatimiza Wajibu Wake?

Kukamatwa kwa Aimal Khan kufuatia kilio kilichoanzia kwenye mitandao ya kijamii ni dalili nzuri. Lakini je, haki itatendeka?
Kumetokea Nini Kwenye Haki za Kidijitali kwa Miaka Saba Iliyopita? Toleo la 300 la Ripoti ya Raia Mtandaoni Litakueleza

Wiki hii katika kusherehekea toleo letu la 300, tunaangazia miaka saba iliyopita ya habari za haki ya kidijitali duniani!