Habari Kuu kuhusu Pakistan
Habari kuhusu Pakistan
Watumiaji wa Mitandao ya Kijamii Wapinga Udhalilishaji Nchini Pakistani -Lakini Je Taasisi za Serikali Zitatimiza Wajibu Wake?
Kukamatwa kwa Aimal Khan kufuatia kilio kilichoanzia kwenye mitandao ya kijamii ni dalili nzuri. Lakini je, haki itatendeka?
Waziri Mkuu wa Zamani wa Pakistan Nawaz Sharif na Binti Yake Anarudi Pakistani Akikabiliwa na Hukumu ya rushwa
"Hukumu hii ni maendeleo makubwa katika vita dhidi ya ufisadi, na kila fisadi lazima aandikwe kwenye kitabu cha walioiibia nchi."
Sabika Sheikh, Mwanafunzi wa Pakistan Aliyetaka Kuunganisha Nchi Mbili Auawa kwa Kupigwa Risasi
"...alisema...' Ninataka kujifunza utamaduni wa ki-Marekani na ninataka Marekani kujifuzna utamaduni wa Pakistan na ninataka tuje pamoja na tuungane," mama yake wa kufikia anakumbuka.
Yaliyojiri Wiki Hii Hapa Global Voices: Hatutaki Mazoea
Wiki tunakusimulia visa vya maandamano, majanga na ubaguzi vinavyofanyika Ethiopia, Egypt, Pakistan, Trinidad na Australia.
Matangazo ya Sauti ya ‘Wiki Ilivyokwenda’ Global Voices: Waliopotea
Wiki hii, tunakupeleka Ecuador, Uganda, Bangladesh, Ukraine na Pakistan.
Shughuli Husimama kwa Muda Waziri Mkuu wa Pakistan Anapotembelea Jiji la Quetta
Kwa mujibu wa makadirio, mamia ya maelefu ya raia wanaathirika moja kwa moja au kwa namna moja au nyingine kila barabara zinapofungwa kwa sababu za usalama wa watu maarufu wanapokuwa Quetta
Ngono, Dini na Siasa Vinapokutana Kwenye Onesho la ‘Sidiria ya Kimalaya’
Mmarekani mwenye asili ya Pakistani Aizzah Fatima amelipa umaarufu onesho lake kwenye maeneo mbalimbali katika miaka ya hivi karibuni. Jina la onesho lenyewe linaonekana kama tusi kwa wengine. Onesho linaitwa: Sidiria ya Kimalaya.
GVFace: Kuvunja Ukimya wa Pakistani Kuhusu Mapigano Yanayoendelea Jimbo la Balochistani
Mijadala wa wazi kuhusu vita vinavyoendelea kwenye jimbo la Balochistani ni nadra. Wanaotetea umoja wa nchi hiyo wanadhani kimya kuhusu jimbo Balochistan ni wajibu wao wa kizalendo, wengine wakijizuia kwa hofu ya nguvu ya kijeshi ya Pakistani.
Kikundi cha Kitalibani Chasema Shambulio la Uwanja wa Ndege wa Karachi Lililoua Watu 24 Lilikuwa ‘Kisasi’
Ingawa wanamgambo wanaosemekana kuingia kwenye sehemu ya zamani ya kupumzikia abiria ambayo ilikuwa imetengwa kwa ajili ya watu maarufu na ndege za Hajj, bado sehemu zote hizo zina njia moja tu ya kutua na kupaa ndege na magaidi wameidhibiti.
Baada ya Waziri wa India Kusema ‘Wakati Mwingine Ubakaji Unakubalika’, Kampeni ya #MenAgainstRape Yavuma Nchini Pakistani
Mamia wa vijana wa kiume kutoka Pakistani wameingia mtandaoni wakifanya kampeni ya kupinga ubakaji