· Juni, 2012

Habari kuhusu Pakistan kutoka Juni, 2012

Pakistani: Buriani Mehdi Hassan; Mfano wa kuigwa wa Ghazal.

  23 Juni 2012

Mehdi Hassan Khan ambaye maarufu alijulikana kama ‘Mfalme wa Ghazal’alifariki dunia Jumatano tarehe 13, Juni, 2012 baada ya kuugua kwa muda mrefu, katika hospitali jijini Karachi nchini Pakistan. wananchi wa Mtandaoni wanattoa salamu zao za mwisho.