Habari kuhusu India

Tafakari ya Suala la Kuoa Nje ya Tabaka lako Nchini India

  29 Septemba 2014

Karthik Shashidhar, mshauri huru wa utawala na mwanasayansi wa takwimu, anaonesha takwimu kutoka kwenye utafiti wa kitaifa wa Afya ya Familia. Shashidhar anajadili idadi ya wanawake nchini India ambao wameolewa na watu wenye tabia lao wenyewe.Mfumo wa kimatabaka wa kihindi nchini India unaongozwa na amri ya makundi ya makundi ya kuoana...

Hali ya Kusikitisha Katika Kituo cha Magarimoshi cha Mumbai

  7 Agosti 2014

Mwanablogu Antarik Anwesan anaelezea hali halisi ya kile kinachoendelea katika kituo cha magarimoshi cha Goregaon kilichopo Mumbai, India. Gari moshi lifanyalo safari za ndani liliondoka kituoni bila ya kutoa taarifa wakati abiria walipokuwa wakiharakisha kuingia. Kadri ya garimoshi lilivyoongeza mwendo, watu wawili walianguka kupitia mlangoni, chupuchupu kupoteza maisha. Taarifa ya...