Habari kuhusu India
Ubaguzi wa India kwa Waafrika Waibuka Tena Baada ya m-Kongo Kuuawa kwa Kupigwa
Sema, "India inakupenda," kwa wa-Islamu, wa-Daliti, wa-afrika, wasio na dini...na kisha rudi ukawapige makofi?
Muziki Wamsaidia Mwanamke wa Ki-Hindi Kujikwamua Kiuchumi
Tritha Sinah anaongoza bendi iitwayo Tritha Electric. Amekulia Kolkata na anasema muziki umekuwa njia ya kujipatia uhuru wa kifedha.
Tafakari ya Suala la Kuoa Nje ya Tabaka lako Nchini India
Karthik Shashidhar, mshauri huru wa utawala na mwanasayansi wa takwimu, anaonesha takwimu kutoka kwenye utafiti wa kitaifa wa Afya ya Familia. Shashidhar anajadili idadi ya wanawake nchini India ambao wameolewa na...
Hali ya Kusikitisha Katika Kituo cha Magarimoshi cha Mumbai
Mwanablogu Antarik Anwesan anaelezea hali halisi ya kile kinachoendelea katika kituo cha magarimoshi cha Goregaon kilichopo Mumbai, India. Gari moshi lifanyalo safari za ndani liliondoka kituoni bila ya kutoa taarifa...
Je, Tunaweza Kuwasaidia Wazee kwa Kuwakumbatia? Kampeni hii ya India Yasema ‘Ndio!’
Kampeni ya KUKUMBATIA inafanya kazi kuunganisha pengo ya umri kati ya vijana na wazee katika juhudi za kupunguza hali ya kuwatenga wazee nchini India.
Namna Teknolojia Inavyosaidia Watu Kujifunza —na Hata Kuokoa—Lugha za Dunia

Waleta mabadiliko sasa wanatumia nguvu ya teknolojia kujaribu kuziokoa lugha zilizo kwenye hatari ya kupotea, na kwa nadra, kuzifufua lugha zilizokwisha kufa.
Hadhi ya Wanawake Katika Jamii ya Kihindi Leo
Transhuman Collective (THC), mwanafunzi aliyepikwa na Soham Sarcar & Snehali Shah, ni mradi wa taaluma shirikishi unaongozwa na falsafa yaTranshumanism. Katika video hii iliyotengenezwa na kupandishwa kwenye mtandao wa YouTube...
Changamoto ya Kuhuisha Orodha ya Wapiga Kura
Uchaguzi mkubwa zaidi duniani uko mbioni nchini India na mwanablogu Anuradha Shankar kwenye blogu yake ya “A Wandering Mind” anabainisha changangamoto halisi za kuboresha daftari la wapiga kura tayari kwa...
Hedhi Sio Siri ya Aibu. Tuzungumzie Siku Zetu kwa Uwazi
“Kwa nini wanawake hawapendi kuzungumzia hedhi?” anauliza Sourav Kumar Panda kwenye tovuti ya Youth Ki Awaaz na anaendelea kujadili/a> kuwa kwenye siku hizi na zama za leo, kuendelea kuifanya hedhi...
“Ni wa Kike!”: Kampeni ya Kukomesha Utoaji wa “Mimba za Kike” Nchini India na China
Tovuti ya MujeresMundi, inayoongozwa na mtaalamu wa mawasiliano anayeishi Peru na Ubelgiji Xaviera Medina, inahusika na kampeni ya kuelemisha watu kuhusu “Ni mtoto wa Kike” inakosudiwa kukomesha utoaji wa mimba...