Habari kuhusu India kutoka Oktoba, 2016
Upungufu wa Maeneo ya Wazi Wawalazimisha Watoto wa Mumbai Kucheza Katika Maeneo Machafu
“Hatuwaambii wazazi wetu kuwa tunacheza hapa. Wanafikiri tunaenda kwenye viwanja vizuri kucheza. Kama wakijua...hawataturuhusu kutoka tukacheze."