Habari kuhusu Maldives
Mwanablogu na Mwanaharakati wa Maldives Yameen Rasheed Auawa kwa Kuchomwa na Kitu chenye Ncha Kali
"Ile inayoitwa" Paradiso ya duniani haihakikishii raia wake usalama. Kesho inaweza kuwa ni mimi, wewe au yeyote miongoni mwetu," aliandika mtumiaji mmoja wa Facebook.
Dunia Nzima: Lugha 2,500 Zinapotea
Ramani shirikishi ya lugha zinazopotea, inayoonyesha lugha 2,500 kati ya 6,000 ambazo ziko hatarini, imezinduliwa na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa...